Mwenye macho na atazame hiyo picha ya msanii Kipanya

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Mwenye macho na atazame hiyo picha ya msanii Kipanya.
Je anawatabiria nini hao mabwana wakubwa?
FB_IMG_1556001413811.jpeg
 
Huyo ni Muro nadhani amechoka kubakia hapo ofisini sasa anatafuta jinsi ya kuwachia ngazi
Kuna aliyeamuru bendera zote za CDM zitelemshwe within 4 days! Na hakuna kiongozi yeyote wa serikali aliyekemea uhaini huo!
 
Hakuna marefu yasiyo kua na ncha,hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho..tena hawa wa vyeo vya kuteuliwa nawahurumia sana..wanadharirika sana mbele ya safari.

Cheo ni dhamana..tumieni kwa masilahi ya taifa sio binafsi..kuna maisha baada ya uteuzi.
 
Ukimuona Magesa Mulongo (the former RC wa Arusha) alivyo sasa, hutatamani hayo mavyeo!!!
 
Ukimuona Magesa Mulongo (the former RC wa Arusha) alivyo sasa, hutatamani hayo mavyeo!!!
Mkuu haya ma vyeo acha tu nilikutana na jamaa yangu alikua DC wilaya fulani sasa akatumbuliwa taarifa alizipata kupitia watsap dereva wake alimwambia basi walikua kwenye ziara akasema watu wote wakaanza kumdharau pale pale ha ha ha ha ha ha saizi kachoka
 
ACT ilipewa indhari yakutaka kufutwa kwa mushusha bendera za CUF Msajili wa vyama alisema ni kosa la jinai lkn leo mkuu wa Wilaya kashusha bendera za Chama cha Siasa akuna kilichofanyika nn kinaendelea Latina Nchi hii???
 
Back
Top Bottom