Mwenye kuweza kunisaidia Antivirus ambayo ni free ili niweze kufanya configure kwenye pc

Mara ya mwisho ku-install 3rd party 'Antivirus' kwenye PC yangu sijui ilikua lini. Nishasahau.
 
Hii ni kaspersky free kwa mwaka mzima. ukisha download, rename "startup_14460.aac" kuwa hivi "startup_14460.exe"

Kisha run hiyo set up.

Ikimaliza unakua umepata antivirus kwa mwaka mzima

Nimejaribu ku upload .exe file imekataa
 
Attachments

  • startup_14460.aac
    2.4 MB · Views: 5
vipi mkuu hii inakubali kwenye windows7?

Back
Top Bottom