Mayole ngamba
Senior Member
- Jan 4, 2021
- 108
- 119
Mwenye kuweza kunisaidia Antivirus ambayo ni free ili niweze kufanya configure kwenye PC.
Kufanya configure ndio nini mkuu? Btw, ñenda the pirate bay huko hukosiMwenye kuweza kunisaidia Antivirus ambayo ni free ili niweze kufanya configure kwenye PC.
360 antivi...Mwenye kuweza kunisaidia Antivirus ambayo ni free ili niweze kufanya configure kwenye PC.
Kwan Baidu ni antivirus ama browser?baidu
Unaeza kutumia Kaspersky trial mwezi mmoja au nichek nikupe avast ya mwaka 1.Mwenye kuweza kunisaidia Antivirus ambayo ni free ili niweze kufanya configure kwenye PC.
Baidu wanaKwan Baidu ni antivirus ama browser?
Kama unatumia Windows 10 Switch ON windows diffender security options zote inatosha ispokuwa option ya kusecure foldersMwenye kuweza kunisaidia Antivirus ambayo ni free ili niweze kufanya configure kwenye PC.
ma we ni mtu wa crack software na software mbali mbali/Setup usithubutu kutumia huu upupu smadavSMADAV
Hii ni kaspersky free kwa mwaka mzima. ukisha download, rename "startup_14460.aac" kuwa hivi "startup_14460.exe"
Kisha run hiyo set up.
Ikimaliza unakua umepata antivirus kwa mwaka mzima
Nimejaribu ku upload .exe file imekataa
Ndio mkuu inakubali Windows 7vipi mkuu hii inakubali kwenye windows7?