Mwenye kuufahamu huu wimbo naomba anisaidie!

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,490
54,884
sijui nani kaimba lakini nakumbuka maneno machache sana!
"ni safari ndefu inachukua miezi tisa, navuka milima na mabonde naelekea sayarini..na joto kali limetawala mwilini...". mwenye kuufahamu anisaidie. mia
 
Funguka mkuu mistari hiyo michache utasaidiwa
cc:matola,miss strong.
 
sijui nani kaimba lakini nakumbuka maneno machache sana!
"ni safari ndefu inachukua miezi tisa, navuka milima na mabonde naelekea sayarini..na joto kali limetawala mwilini...". mwenye kuufahamu anisaidie. mia

wimbo wote unakumbuka hiyo mistari tuu?
 
Shida yenyewe siyo mistari tu bali hata category haijulikani kama ni Dance, injili, Bongo Fleva, Regge, Taarabu au kaswida? Mzee wa mia jifunze namna nzuri ya kuuliza this is too low from you.

nadhani atakua ameelewa.......,
MIA
 
wimbo wote unakumbuka hiyo mistari tuu?
ndio. huu wimbo ni bongo fleva. nikikosa hapa jf ntawafuata madj watanisaidia. Matola sijapenda comment yako. kwa wanao ujua wimbo hata maneno mawili yanatosha. mia
 
Last edited by a moderator:
sijui nani kaimba lakini nakumbuka maneno machache sana!
"ni safari ndefu inachukua miezi tisa, navuka milima na mabonde naelekea sayarini..na joto kali limetawala mwilini...". mwenye kuufahamu anisaidie. mia

hii ngoma ilikuwa inagongwa sana magic fm na dj majizo kipindi hiko!...nimesahau inaitwaje ila kaimba ----- mmoja hivi anakaa mitaa ya kina ben kinyaiya!kipindi hiyo inatamba alikuwa anaiimba sana pale MK PUB kinondoni karibu na masai club na ndo mitaa yake ya kujidai!...subiri niangalie uwezekano wa kuipata kwa madogo wa kitaa
 
Huu wimbo nimekutafuta bila mafanikio aseee
Nakumbuka maneno machache tuu yaani!

Mtoto harufu mbaya imetawala mwiliniii,
Nipo njiani miaka mingi naelekea sayarinii,
Navuka mito na mabonde ili nifike sayarinii,
Nafsi yangu inanibana na wingi wa mitihanii ×2
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom