Mwenye kuufahamu huu wimbo msaasa tafadhali

DMCT

JF-Expert Member
Apr 25, 2015
2,281
2,000
Wakuu habarini,
Poleni na mihangaiko ya hapa na pale, pamoja na hayo burudani ni muhimu sana hasa muziki.
Kuna wimbo nautafuta sana sijaupata una mistari kadhaa inasomeka "mimi ni Erik shigongo utajiri wangu wema pia ana mchango.." Pia anasema "mm ndo yule shehe ponda wakowali mapaparazi.." Mm ni Hashimu Lundenga, ule uchaguzi wa city tulichemka kabisa, lakini tusameheane... Mwenye kuujua please nautafuta sana.. Nawasilisha
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom