Mwenye kumfahamu Mtanzania huyu mkazi wa Magomeni, anateseka nchini Pakistan

Mbona naona kama maigizo hayo! Askali gani wataruhusu mtu apigwe picha wakimwelekeza mitutu ya bunduki - Serikali ya wapi hiyo?

Samahani, mimi ninacho kiona hapo ni mtu ametekwa njara - wanataka ransom ili walipwe, mbinu hizi ufanywa na majambazi na ma mafia si askali/Polisi.

Wanaweka picha za vitisho ili jamaa zake/ndugu watume hela za kumunusuru - nasikitika kusema kwamba instinct zangu zinanieleza kwamba wenda ikawa na yeye anahusika katika usanii huu - I am sorry kulisema hilo.

Unajua tokea jana nilipoiangalia hiyo video nilistuka.

Kwanza angalia tu hata wanavyompiga....ndo kupiga gani huko? Manake wanampapasa papasa tu.

Nimenusa harufu ya utapeli hapo. Si bure!
 
Kama unawajua mkuu
lete majina yao humu; wakasakwe.
Nishasema siwataji naifahamu polisi ya nchi yangu ilivyo. Kama hiyo video imerushwa kwa ndugu zake hadi bondeni wanafahamu kwa nini Tz isijulikane!? Kinachonikera badala ya ndugu zake kumkemea kwa tabia hiyo ya upunda lkn wanalalamika kuwekwa bondi kwa ndugu yao.
NB: Mnaokuja PM sitawajibu chochote na msipoteze muda.
 
Wekeni picha ya juma maana huyu tumemtambua kwa umagomeni wake.
 
Nishasema siwataji naifahamu polisi ya nchi yangu ilivyo. Kama hiyo video imerushwa kwa ndugu zake hadi bondeni wanafahamu kwa nini Tz isijulikane!? Kinachonikera badala ya ndugu zake kumkemea kwa tabia hiyo ya upunda lkn wanalalamika kuwekwa bondi kwa ndugu yao.
NB: Mnaokuja PM sitawajibu chochote na msipoteze muda.
Mbona yeye kawataja hata kwa majina ndugu zake na huyo Juma wa Kunduchi??
 
Nina allergy na Facebook, anyway nipe title yake nikaisake
Fanya hivi, naamini posti nyingi za wauza madawa Tanzania Magomeni imekuwa inatajwa sana. Tafuta mkaazi wa Magomeni Chemchem then jaribu kuulizia maana inshu imeliki sana. Hiyo picha ni video akimtaja ndugu yake na wazazi wake mimi nimetumia screen camera kuichukua.
 
Back
Top Bottom