Mwenye kumfahamu Mtanzania huyu mkazi wa Magomeni, anateseka nchini Pakistan

Yaani hata kama angepewa "OFA " ya kurudishwa Tanzania akawekwa gerezani angefurahi sana kuliko hayo mateso ugenini tena mikononi mwa ISIS!
 
IVI HUYU JAMAA aliewekwa rehani ISHU YAKE ILIISHIA WAPI,,YULE ALIEMSAFIRISHA ALIKAMATWAGA AU ni vp wakuu
 
Then iyo video nimeiona kitambo yani hata miezi nane au saba inafika maelezo yako yangeambatana na mda wa iyo video watu wasiowahi kuiona watajua kitu kilichotokea jana tu
 
Then iyo video nimeiona kitambo yani hata miezi nane au saba inafika maelezo yako yangeambatana na mda wa iyo video watu wasiowahi kuiona watajua kitu kilichotokea jana tu
Umeangalia tarehe ya habari ilipowekwa??
 
Back
Top Bottom