Mwenye kumfahamu mganga bingwa na mkweli pale Njombe, Makete atusaidie tunashida

Ukifika njombe town unapanda gari za kuelekea wapi
Kuna mmoja yupo makete usagatikwa jina limenitoka ila anafahamika sana, yeye kafariki ila watoto ndio wana mikoba.
Watu kama Mwafrika wamepatia utajiri kwake kwa sharti la kutofanya kazi alhamisi.
Kuna Mwandulami yupo Makambako, watafute watakusaidia.

Na njombe kuna kijiji kinaitwa wikichi, kuna msitu unaitwa nyumba nitu.2004 nilitembelea hiyo sehemu kuna magwiji pia fanya uende hapo pia.
Gwiji mmoja aliniambia walokole waliharibu shrine yao, wote wakaumwa.Wakaenda kupiga maombi lakini wapi wakarudi kutibiwa hapo hapo nyumba nitu.

Ukishindwa kabisa seek God!
 
Wana JF
Nawaombeni msaada kuna shida moja tunahitaji ufumbuzi wa tatizo lililopo, naomba msaada kwa wanaomfahamu MGANGA BINGWA ambaye sio mbabaishaji pale MAKETE huko njombe atuasidie hata kama una namba zake mtu saidie. unaweza ukanitumia au kunielekeza inbox akama unaona hapa watakufahamu ukitoa ushauri.

Natanguliza shukrani za kipekee.

TAFADHALI TUSITUKANE WALA KUKEJELI KILA MTU ANAYAKE MATATIZO. Kama haikuhusu afadhali ukae kimya.
YESU,,namba ,, yeremia 3:33
 
Back
Top Bottom