Card inakuaga hiyoTv yangu inaweka rangi nyeusi kwa pembeni kama inavyooneka kwenye picha itakuwa na tatizo gani? Mwenye kujua naomba anisaidie
View attachment 1810497
Kama card siyo ingekua inachukua muda kuwaka. Ila ikiwaka inakua clear kila kitu? Nafikiri ni mkanda wa taa za LED labda zimeunguaCard inakuaga hiyo
Hizo taa zinauzwa kwa mkanda. Mkanda mmoja ni 20K.Hizo taa za LED zitakuwa zinachezea bei gani mkuu kama unafahamu
Hizo taa za LED zitakuwa zinachezea bei gani mkuu kama unafahamu
Nakushauri usiweke TV yako karibu spika zenye sumaku kubwa jitahidi weka TV mbali na spikaHizo taa zinauzwa kwa mkanda. Mkanda mmoja ni 20K.
Ila nenda kwa fundi akijua kama ni taa au card atakuambia
speaker zina leta shida hiyo kwa zile Tv zenye visogo( yaan zinazotumia technologia ya cathode ray kutengeneza picha) lakin kwa tv za kisasa hizi za flat sumaku za speaker hazina effect mkuu,Nakushauri usiweke TV yako karibu spika zenye sumaku kubwa jitahidi weka TV mbali na spika