Mwenye kujua tatizo hili kwenye TV anisaidie

Tv yangu inaweka rangi nyeusi kwa pembeni kama inavyooneka kwenye picha itakuwa na tatizo gani? Mwenye kujua naomba anisaidie

View attachment 1810497
Kama sio display yenyewe, ukifungua, ndani kuna kicard kidogo cha pembe nne kinaitwa T-CON ( Timing Control).kina link connection kati ya main control circuit na kioo (display kupitia mkanda) kinafanya kazi kama CRT card kwenye maTV ya chogo.tumia mafuta special ya kusafishia circuit yanaitwa soldering flux,toa mkanda na safisha pande zote mbili pomoja na slote zote kwishaaa..
 
Back
Top Bottom