Mwenye kujua maana ya hizi nyimbo atujuze tafadhari.

KWI KWI

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
286
84
JF,
Sijui ni ''Beat''(midundo) inachezeka ama wenzangu mnaelewa maaana ya hizi nyimbo,uswazi na sehemu zingine zinapendwa sana:
*''Prakatatumba........''
*''alachi alachi''

Sijui hata kama nimepatia ku'spell majina ya hizo nyimbo......ila wadau najua mtakuwa mmenipata.
Nimeuliza ivi sababu kuna miaka hiyo nilipokuwa secondary(enzi najichanganya clubs) nilishawahi kushuudia wimbo wa dini(umeimbwa kwa english language) unapigwa(chezwa) club-na watu walikuwa napagawa sana ukipigwa.Rafiki yangu mmoja alikuwa DJ enzi hizo alikuwa hajui maana yake...nilipompa ''lyrics'' zake-aliogopa kuupiga tena.Huo ni mfano mmojawapo...
Kuna zingine unakuta zina maana ambayo ukiijua unaweza ukajiona wa ajabu kwelikweli.....kwa kupenda kitu ambacho ukijui....
Wadau nipeni maana ya nyimbo hizo......
 
Ndo muziki huo, unaweza kupenda maudhui au ukapenda fani. Tumeimba sana nyimbo za Lingala, Isizulu, Kihindi n.k bila kuelewa maana zake. Na maisha yanasonga....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom