Mwenye kujua maajabu saba ya dunia ukitoa Ngorongoro Crater anijuze tafadhali

jitu la kale

Member
Dec 29, 2010
77
18
Kwa muda sasa nimekua nikisikia juu juu kwamba ngorongoro,mara bustan ipo angani na pryamid uko misri zipo kati ya maajabu saba au nane ya dunia,ila sijajua vizuri nyingine ni zipi,mjuvi wa ili tafadhali nijuze nipate kujua
 
KUna seven old wonders of the world (man created, in ancient times)
- tour of giza
- hanging gardens of babylon
- temple of artemis
-statue of Zeus olympia
-Mosoleum of hilacarnasus
- Collosus of Rhodes and
- Light house of Alexandria
na seven natural wonders of the world (natural sites)
The Seven Natural Wonders of the World | Seven Natural Wonders Na hizi ndio tunavote kwa kuiweka Kilimanjaro katika seven natural wonders of the world...

alafu kuna seven new wonders of the world (man created in relatively recent time)
Great Wall of China5th century BCE – 16th century CE
Petrac.100 BCE
Christ the RedeemerOpened 12 October 1931
Machu Picchuc.1450 CE
Chichen Itzac.600 CE
MexicoColosseumCompleted 80 CE
Taj MahalCompleted c.1648 CE
Great Pyramid of Giza (Honorary Candidate)
Kama unataka kujua zaidi, nenda wikipedia, hata mimi nimekutolea huko huko (I only knew the wonders of the ancient world)
 
Katika maajabu hayo saba ya dunia pia kuna ajabu kubwa la nane nalo ni hili la raisi Kikwete kutojua kwanini wananchi wake ni masikini! Unicesco wanalifanyia kazi.
 
Rais wa nne tanzania kuwa binadamu aliye safiri safari nyingi zaidi duniani! Ana miaka 6 tu ktk utawala lakini kasafiri mara 318, je akifika miaka 10 ktk utawala?!
 
Katika maajabu hayo saba ya dunia pia kuna ajabu kubwa la nane nalo ni hili la raisi Kikwete kutojua kwanini wananchi wake ni masikini! Unicesco wanalifanyia kazi.

Hilo lazima liingie kwenye seven wonders.....na kila likitokea tatizo lazima asafiri
 
Rais wa nne tanzania kuwa binadamu aliye safiri safari nyingi zaidi duniani! Ana miaka 6 tu ktk utawala lakini kasafiri mara 318, je akifika miaka 10 ktk utawala?!

Atasafiri safari 530 kama ataifuata formular yake ya sasa ila nadhani atafika 1000 kwa kasi aliyonayo
 
Kilimanjaro nayo tunaiingiza kwenye hayo maajabu ya dunia,hivyo uki google utkuta kuta kuna sehemu ya ku vote ili mlima wetu uingie kwenye hayo maajabu.pigia kura mlima kilimanjaro wahamasishe na wenzio kwani muda unayoyoma ndugu yangu,wizara ya maliasili ipo imelala tu wala hawatii juhudi wanasubiri wazungu wapige kura na sio wazawa,si unajua tena wabongo tunavyo dharau vyetu na kutukuza vya watu.
 
Back
Top Bottom