Mwenye kujua kuhusu Shanta Mining anisaidie

metudi

Senior Member
Aug 13, 2014
150
72
Hivi karibuni niliona nafasi za kazi za engineering ktk mgodi wa sshanta kupitia zoom. Nimejaribu kuomba hzo kazi kupitia eemail address yao lakin inakataa inarudisha majibu uundelivered mwenye kujua jinsi ya uombaji hzo kazi anifhamishe
 
Back
Top Bottom