Samahan wadau, mm ni mtumishi wa serikali, katika kujiongezea kipato na kujiendleza nimeamua kuchukua mkopo, lakini wapi nikachukue mkopo, wengi wamenishauri nichukue Benki hizi CRDB, NMB, NBC, POSTA BENKI.........
Wengi pia wameshauri niende UTT...... na... SACCOS
Samahani mwenye kujua kuhusu makato na na vitu vingine vnavyoendana na mkopo naomba aweke hapa jamvini.....Nataka nikope milioni tano (5 milion)
Natanguliza Shukrani...