BABU KIDUDE
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 1,588
- 904
Kichwa cha habari, naendelea kufanya Utafiti kuhusu mahindi madogo ya njao yanayotumika kutengenezea Popcorn. kwa kiasi kikubwa mahindi haya yanatoka nje ya Nchi kwa sasa . mwenye kujua je mahindi haya hayawezi kulimwa hapa kwetu? kama yanawezekana nijalie hari hewa na udongo, muda wa kuvunwa, magonjwa na changamoto zake please