Mwenye kujua kiundani

Comi

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
3,328
955
Je, kuna umuhimu wa kuwasiliana na x wako mara kwa mara (hazipiti siku mbili)ilhali uko kwenye mahusiano na mtu mwingine? Na nini faida na hasara ya kuwasiliana nae?
 
Kuwasiliana kama kuwasiliana tu hio haina tatizo lakini mara kwa mara lazima jamii itaweka question mark! Kama upo kwenye mahusiano mapya tegemea kugombana na mwenza wako.
 
sikubaliani kama unatakiwa kuwasiliana mara kwa mara lazime kuwe na distance kidogo otherwise muwe mnataka ku rebuild relation yenu
 
Je, kuna umuhimu wa kuwasiliana na x wako mara kwa mara (hazipiti siku mbili)ilhali uko kwenye mahusiano na mtu mwingine? Na nini faida na hasara ya kuwasiliana nae?
Eti Comi una umri gani wewe?
 
Last edited by a moderator:
Je, kuna umuhimu wa kuwasiliana na x wako mara kwa mara (hazipiti siku mbili)ilhali uko kwenye mahusiano na mtu mwingine? Na nini faida na hasara ya kuwasiliana nae?

Mawasiliano yanaweza kuwepo lakini si ya mara kwa mara, mara kwa mara kwa lipi wakati mmeshamwagana?? Ni vzr kujitenga na tabia za namna hii maana zinaweza kukuletea balaa kwenye mahusiano yako mapya. Chukua tahadhari.
 
Mnaongea nini na huyo ex wako kila baada ya siku mbili?

Usiruhusu hiyo kitu, itakuja kukugharimu kwenye mahusiano uliyonayo kwa sasa..!!
 
Je, kuna umuhimu wa kuwasiliana na x wako mara kwa mara (hazipiti siku mbili)ilhali uko kwenye mahusiano na mtu mwingine? Na nini faida na hasara ya kuwasiliana nae?

unawasiliana naye ili iweje? kama umeachana naye wa nini tena? subiri ukutwe na sms zake kama hujatemwa
 
Je, kuna umuhimu wa kuwasiliana na x wako mara kwa mara (hazipiti siku mbili)ilhali uko kwenye mahusiano na mtu mwingine? Na nini faida na hasara ya kuwasiliana nae?

kuwasiliana sio tatizo ila every two days hapo namashaka...mwaongea ninini? na umweli ni kwamba mwanaume na mwanamke lazima maongezi yateenda kwenye kugegedana tuu na hivyo nyie mlisha onene uchi basi ndio kabisa.
kuna uwezekano wa kukumbushia hapo.
 
Hamna madhara!

umeanza kuwa nunda enh?AHAHAHHAHHAHAHHA mimi like ur innocense bana!
zile hujambo dada yangu mpendwa!habari za nyumbani?mimi mzima wa afya hofu na mashaka kwako!haya majibu ya aina hii mwachie Asprin .lol!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom