Wife umenitoroka kwa bed saa ngapi??..mpenzi wako.mpya akiwasiliqna mara kwa mara na x wako utareact vipi? Hilo ndo jibu..............
Oh! Sorry nlitaka kujua tu kabla sijachangia mada.miaka 23. Mbona umeniuliza hivyo ndugu?
Je, kuna umuhimu wa kuwasiliana na x wako mara kwa mara (hazipiti siku mbili)ilhali uko kwenye mahusiano na mtu mwingine? Na nini faida na hasara ya kuwasiliana nae?
Yani una miaka 23 na una x? sasa sisi Wazee tuseme tuna xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx.......miaka 23. Mbona umeniuliza hivyo ndugu?
Je, kuna umuhimu wa kuwasiliana na x wako mara kwa mara (hazipiti siku mbili)ilhali uko kwenye mahusiano na mtu mwingine? Na nini faida na hasara ya kuwasiliana nae?
unawasiliana naye ili iweje? kama umeachana naye wa nini tena? subiri ukutwe na sms zake kama hujatemwa

Hamna madhara!