mwenye kujua kesi ilivyo isha naomba anisaidie (picha zinatisha) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mwenye kujua kesi ilivyo isha naomba anisaidie (picha zinatisha)

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by figganigga, Jan 8, 2012.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  hii habari ilinigusa sana. hadi sasa sijajua iliishaje.
  [​IMG]

  Picha juu ni Ramadhani Mussa (12)ambae anashikiliwa na polisi Mkoa wa Ilala kwa kukutwa na kichwa cha mtoto mdogo Salome Yohana (3) Picha chini,alichokuwa amekibeba katika mfuko wa rambo
  [​IMG]
  Juu ni Kichwa cha Mtoto Salome Yona.

  Dakika chache zilizopita kumetokea tukio la kusikitisha hapa MPL Muhimbili. Askari mmoja alimsimamisha mtoto wa miaka kama 9 hadi 11 akiwa amebeba kichwa cha mtoto mzuri kama wa miaka mitatu. Kijana yule akatoa kichwa mfukoni na kuanza kula live. Nikifika home nitawatumia picha. Ajabu sana
  Kijana mla kichwa cha mtoto alisema kuwa anapeleka zawadi kwa shangazi yake yuko IPPM (siyo psychiatry). Ni kweli tukio hili la kusikitisha sana limetokea.Kichwa ni cha mtoto wa kike mzuri (binadamu), it seemed to be fresh.
  Alidai anapeleka zawadi hiyo kwa shangazi yake yuko psychiatry!Mara baada ya kukamatwa, alianza kula kile kichwa live !!! Hata hivyo baadhi ya mashuhuda wanasema aliyekamatwa aliwahi kulazwa psychatry unit.Kwa kuaangalia umbo lake, naye ni mtoto pia; hivyo nina walakini kuwa ni psychiatric patient (unless ana childhood neuropsychiatric/ neurodevelopmental disorders).
  Mbona amekuja Muhimbili na si kwingineko. Mfano,angekamatwa maeneo ya Ubungo ama kwingineko; akataja Muhimbili psychiatry tungesikuwa na maswali mengi sana. Kwa upande mwingine, kula kichwa LIVE mbele ya kada mnasi inatia walakini kwa binadamu wa kawaida mwenye akili timamu.
  Wazazi/walezi wa watoto hao (aliyetafunwa na aliyetafuna) wako wapi?Wana maelezo yapi?Pamoja na hayo, kiwiliwili kiko wapi? Kikipatikana chote (kuanzia shingoni hadi miguuni) kitatoa baadhi ya majibu.Polisi wa kutosha (magari mawili) wameondoka na kijana huyo uchunguzi (forensic investigation) unaendelea. Habari hii imeletwa kwenu na Dr M kutoka Muhimbili na
  Da Subi nsipitwe. Mia
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Si nasikia akifungiwa rumande asubuhi hukutwa nje akiota jua?!
   
 3. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #3
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,011
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Rama yupo Segerea anapeta tu. Amekuwa mwenyeji huyo na mahabusi wanamuogopa.
   
 4. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Ramadhani Mussa ni muumini wa Mch Rwakatare.Siku ya kwanza alikutwa Mikochen B.Hivyo Mama Rwakatare anafahamu!
   
 5. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  yeze na mama yake wako shavu dodo segerea,ukiwaona utadhani wanakaa obay
   
Loading...