Mwenye kujua jinsi ya kupata kazi nje ya nchi aniunganishe

Nchi zote za Ulaya kasoro Uingereza na Switzerland wanatoa chengen visa. Ukiipata unaingia nayovnchi zote zenye makubaliano ya chengen
Samahani, swali la ufahamu!
Unaweza ukaelezea kidogo kwa udani procedural stages to follow, for someone living and born in Tanzania till he/she get this Visa.
Asante sana.
 
Samahani, swali la ufahamu!
Unaweza ukaelezea kidogo kwa udani procedural stages to follow, for someone living and born in Tanzania till he/she get this Visa.
Asante sana.
Uwe na sababu inayokupeleka
Uwe na ushahidi wa mahali utakapofikia
Uwe na pesa za kukidhi safari yako
Uwe na passport valid
 
Miaka mitatu iliyopita Malawi hawakuhitaji visa kwenda UK. Wanigeria walimwagika walipata passport za Malawi hao wakaingia kwa queen.
 
Kuna jamaa alizamia USA na sasa hivi ana mke mzuri wa kizungu pamoja na vitoto viwili blacks. Tatizo alikuwa muongeaji sanaa ila hakusoma sana aliishia cheti tu!.
Jua kiingereza kidogo halafu jua kuongea sana, nchi za watu utasurvive!.
 
Kazi hizo za kudeki (a.k.a "kubeba maboksi") ukienda huko "Ulaya" ukazipata, kila thumni wanayokulipa lazima uitumikie kisawasawa. Endapo utatumia kiwango hichohicho cha juhudi za "kubeba maboksi" Ulaya, ukazihamishia hapahapa Tanzania, kwa chochote utakachodhamiria kukifanya utafanikiwa parefu.
 
Back
Top Bottom