Mwenye kujua jinsi ya kuomba kazi Serikalini alisaidie

Hafidhibrahim

Senior Member
Nov 4, 2014
142
32
Habari ndugu, jamaa na marafiki,

Naomba kujua jinsi ya kuapply kazi Serikalini vitu vipi vinaitajika kuambatanisha wakati wa kupeleka barua kama mimi ni dereva mwenye kujua anijuze/atujuze ahsanteni
 
i. Cheti cha kuzaliwa
ii. Cheti cha Fom IV/VI
iii. Cheti cha mafunzo ya Udereva kinachotambulika na serikali mara nyingi huwa VETA au NIT
iv. Leseni ya Udereva
v. Cv/ wasifu
vi. Barua ya maombi ya kazi.
 
i. Cheti cha kuzaliwa
ii. Cheti cha Fom IV/VI
iii. Cheti cha mafunzo ya Udereva kinachotambulika na serikali mara nyingi huwa VETA au NIT
iv. Leseni ya Udereva
v. Cv/ wasifu
vi. Barua ya maombi ya kazi.
Shukran ndg yng
 
Matangazo yote ya kazi yana ainisha viambatanishi vinavyohitajika, hivyo ww soma maelekezo ya tangazo la kazi kwa umakini utaona vitu vya kuambatanisha
 
i. Cheti cha kuzaliwa
ii. Cheti cha Fom IV/VI
iii. Cheti cha mafunzo ya Udereva kinachotambulika na serikali mara nyingi huwa VETA au NIT
iv. Leseni ya Udereva
v. Cv/ wasifu
vi. Barua ya maombi ya kazi.
Siyo kila kazi inataka hivyo viambatisho mkuu.
 
Kwanza lazima ujisajili Recruitment Portal ya Sekretarieti ya Ajira ndiyo utaweza kutuma maombi yako, Andaa nakala za vyeti: kuzaliwa, kidato cha nne/sita, CV, VETA, NIT, LESENI.

Halafu unasoma matangazo ya ajira mara kwa mara ktk www.ajira.go.tz ili kutuma maombi yako. Nakutakia kila la kheri.

Note ukija serikalini epuka nyoka ya wazi wazi
 
Nyongeza ya hayo hapo juu jitaid uwe na account psrs kwan application nying ni online through recruitment portal. Baada ya hapo uhakika likitokea tangazo linalo match wasifu wako.Nafasi za udereva huaga nying sana ad zinarudiwa cjui mnakuaga wap mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom