Mwenye kujua jibu anisaidie | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenye kujua jibu anisaidie

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sweetlady, Mar 25, 2011.

 1. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  nmepatw na hal ya kuondokewa na hisia za mapenz. Cjui imesababshwa na nini. Npo under 30. Huu ni km mwez wa3, nile nin/nfanye nn krudsha hica?
   
 2. LD

  LD JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hii utakuwa umekosea jukwaa Sweetlady.
  Omba wakuhamishie kwenye jukwaa husika.
   
 3. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  ok thanx!
   
 4. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Usijali sweetlady, just niPM!
   
 5. M

  Mutambukamalogo JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hujakosea jukwaa sweetlady. Ni PM nikutatulie tatizo lako.
   
 6. YoungCorporate

  YoungCorporate JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2011
  Joined: Apr 30, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  nahisi uliwahi kutendwa siku za nyuma, jaribu kusahau yaliyopita tafuta mtu mwenye mapenzi ya dhati utafurahia na ku-enjoy....kama ni scenario tofauti jaribu kubadili mazingira nenda dinner/out sehemu nzuri na tulivu, nenda club, kuwa more romantic dress to appear like its a big day....nenda uka refresh nje ya mji w'end kama bagamoyo, z'bar, lushoto etc....kama ni mnywaji jaribu amarula, redds, wines etc...present gifts to ur hubby, resume ur old sweettalks...i mean do smthn to trigger ur sexual desire....
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  huna tatizo lolote
  bado hujakutana na ur dream guy...
   
 8. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  Pamoja na kupotea jukwaa..... Punguza Stress!
  Acha kununa-nuna, jaribu kutabasamu kila wakati, bila kujali uko wapi (tabasamu si kujichekesha) hii itakusaidia kupunguza msongo moyoni mwako.

  Nenda hospitali kapime afya yako, na baada ya hapo utajua tatizo linasababisha na nini?

  Zaidi sana fanya kazi kwa bidii na mazoezi, na mwisho wa siku utakuwa sawa na kila jambo litakuwa jema kwako.
   
Loading...