Mwenye kujua hii song please share nasi

Lets Get Together

JF-Expert Member
Nov 26, 2019
258
427
Wakuu kwema? (Hope kwema)

Kuna hii song Inaimba background kwenye hii video clip, please mwenye kuijua naomba anisaidie jina la hiyo song or share hapa nasi wote tuipate.
Pia Iko swahili version yake please share nasi kama unaifahamu.

Thanks.

 
Back
Top Bottom