Mwenye kujua gharama za sherehe za uhuru atujuze tafadhali

mwl

JF-Expert Member
May 25, 2011
1,101
913
Wanabodi salaam,

Naomba msaada kujua gharama zilizotumika katika sherehe za Uhuru 9/12/2016, namalizia usafiri nahitaji baadhi ya data ili niwe na haki ya kuzungumza.

NB: Kwa mwenye kujua tu, hujui "shut up".
 
Zinakuhusu nini wewe. Kwani wewe ndie ulizitafuta. Kodi yenyewe hapo ulipo hujawahi kulipa hata siku moja. Unakwepa kwepa tu. Acha ujinga fanya mambo mengine
 
ficha upumbavu wako kama hujui namna bora ya kuchangia, na kama hujui jibu la swali kaa kimya..
 
Wanabodi salaam,

Naomba msaada kujua gharama zilizotumika katika sherehe za Uhuru 9/12/2016, namalizia usafiri nahitaji baadhi ya data ili niwe na haki ya kuzungumza.

NB: Kwa mwenye kujua tu, hujui "shut up".
Za nini kamanda. Haitakusaidia lolote cha msingi jitahidi ulipe kodi bila kukwepa. Haya ndio matumizi yake. Kama hulipi basi na sherehe zinaahirishwa.
 
ficha upumbavu wako kama hujui namna bora ya kuchangia, na kama hujui jibu la swali kaa kimya..
Sasa nani kakwambia JF tulikua kwenye kamati ya maandalizi ya sherehe. Na hata kama kuna mtu alikuamo hawez kukupa mtu usiyehusika details hizi. Uelewe tu. Haya maswali mengine hayana msingi kamanda. Nenda officially kwa Jenista Mhagama na Makonda watakupa tuu.usipoteze muda wako huku
 
Matumizi ya serikali toka lini yakawa siri kwa raia wake?
 
mwaka jana ilikua bilioni 4 sherehe na chakula alisema mtukufu raisi mwaka huu kila kitu ni kilekile ila hakuna chakula sasa hapo kama ni mtaalamu unaweza jua tu ki kawaida chakula inakuwa ni asilimia ngapi ya bajeti nzima ya sherehe
 
Ukijua itakusaidia nini? Au umekosa shughuli ya kufanya?

Acha kupoteza muda nenda kafanye kazi
 
Back
Top Bottom