Mwenye kujua chuo cha Wakala wa usalama na afya mahali pa kazi (OSHA)

Edson Zephania

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
517
250
naomba kujua mahali kilipo chuo hiki kilipo kwa hapa tanzania, au mwenye website yao naomba anipatie plizz

asanteni...............
 

Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
12,824
2,000
Hiki ni chuo au wa wakala wa serikali?nawajua wapo karibu na Kinondoni mahakamani,unaingilia pale kinondoni Hospitali
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom