Mwenye kujua browser nzuri yenye kudownload kama torch (altenative ya torch browser)

Annny

Senior Member
Jul 9, 2017
150
167
Waungwana naombeni msaada tutani. Nilikuwa natumia Torch broswer kushusha nyimbo na movies, sasa naona kwenye local internet yangu imepigwa burn. Naombeni mwenye kujua altenative ya hii kitu tafadhari.

Nashukuru kwa msaada.

Annny
 
Jaribu Phoenix browser ila ni ya simu tu kwenye computer haitumiki

By the way browser pekee nzuri ni Google Chrome ikifuatiwa na Mozilla Firefox
 
Unakaa wewe ni Me, ukijarbu kuja na uhusika wa KE, ukiulizia browser nzuri ni ipi.

Tumia Chrome wewe acha kuangaika.
Asante kwa mchango wako. Lakini kaka, chrome haina option ya kudownload kama Torch
 
Waungwana naombeni msaada tutani. Nilikuwa natumia Torch broswer kushusha nyimbo na movies, sasa naona kwenye local internet yangu imepigwa burn. Naombeni mwenye kujua altenative ya hii kitu tafadhari.

Nashukuru kwa msaada.

Annny
Kwa simu au kompyuta?
 
torch na ucweb wale wale, download uc browser ya pc itadownload nayo.

kama wadau juu wanavyoshauri vyema jifunze kuinstall downloader mbalimbali kama idm ili uweze kudownload kwa ufanisi zaidi.
 
Kwa Computer
Download XDM install katika computer then integrate na browser yako itakuwa ina-catch videos automatically then unashusha tu... au download IDM kwa torrent, install then crack, af integrate na browser yako, maana hii baada ya siku 30 inahitaji ununue
 
Waungwana naombeni msaada tutani. Nilikuwa natumia Torch broswer kushusha nyimbo na movies, sasa naona kwenye local internet yangu imepigwa burn. Naombeni mwenye kujua altenative ya hii kitu tafadhari.

Nashukuru kwa msaada.

Annny
Kama bado unatumia windows 7 ndio inazingua,kwenya windows 10 haizingui la make sure isiwe through internet live installer kwani kana mb 1 hivi install kabisa software wizard yake ni version ya 60.01 hivi na ina kama mb 60 i think uinjoy..
 
Back
Top Bottom