Mwenye kujua Antena za tv fox anijuze zaidi

jambo Tanzania

JF-Expert Member
May 29, 2017
377
281
Nimeona kina tangazo linatembea kwenye mitandao kuwa kwa sasa zimeingia antena za tvfox yaani zenyewe zina channel free akuna kulipia hakuna kingamuzi na hakuna habari za cable wala dishi.kama kuna anyezijua zaidi anifahamishe kabla sijalipa dola 82.5 zangu kuwatumia jamaa
 
Back
Top Bottom