Mwenye kujua alipo Mr Nice

shonkoso

JF-Expert Member
Mar 13, 2015
586
1,188
Nipo huku Kenya kuna watu wanamuulizia, Mara baada ya kusikia Mimi nimetokea tz,kiukweli cjui chochote kuhusu huyu jamaa
 
Nipo huku Kenya kuna watu wanamuulizia, Mara baada ya kusikia Mimi nimetokea tz,kiukweli cjui chochote kuhusu huyu jamaa

Wanamuulizia kwa lipi funguka vizuri watu wajue hata tukionana nae tujue tunamwambia anauliziwa kwa lipi mkuu...?

Kama kumuulizia kama kumuulizia waambie yupo na anaendelea vizuri tu kiongozi.
 
Nipo huku Kenya kuna watu wanamuulizia, Mara baada ya kusikia Mimi nimetokea tz,kiukweli cjui chochote kuhusu huyu jamaa
Kuna tetesi huku mtaani kwenye mitandao mingine kuwa hatunae mara kajiua mara kapata ajali na bajani ila sijajua hizi yaarifa kama niza ukweli sina uhakika nazo ila habari iliyopo wanadai hayupo duniani!
Sory!!mimi sio msemaji wake hizi habari nimezisikia tuu sina uhakika nazo sahihi!!
 
Nipo huku Kenya kuna watu wanamuulizia, Mara baada ya kusikia Mimi nimetokea tz,kiukweli cjui chochote kuhusu huyu jamaa
Mkuu kuna habari mbaya huku mitaanai kuhusu yeye na picha hii
1481728911838.jpg

Hii nimeikuta kwenye mtandao ila sina uhakika kama hizi habari niza kweli maana taarifa kamili hazijatolewa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom