Mwenye kuijua vema hii Surf naomba taarifa zake

fabinyo

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
2,991
2,108
surf.jpg

Wakuu,kama kuna yeyote anaitumia hii Surf yenye ingine code 2TR - FE,naomba taarifa zake kwa ujumla!uwezo wake,uzur na ubaya wake,offroading,utumiaji wa mafuta etc
 
Back
Top Bottom