Mwenye kuielewa gari hii

Kazwala mkuu

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
1,034
2,249
b8036205a087e17e21921625407086d0.jpg
439a319b5873281dee260a9269df19cd.jpg
32e839598d7c3ec52a9b7f1f1e4f1ece.jpg
Kama spare zake zinapatikana nchini kwa wepesi na hata uimara wake.

Akhsante
 
Jibu la jumla ni hivi:
Ikiwa unataka kununua gari ambalo spare zake zinapatikana kirahisi, jaribu kufanya kautafiti kuwa hizo gari zipo kwa wingi nchini au chache!
Ukipata jibu kuwa ni chache ujue na spare zake nazo ni adimu na ghali na zikiwa nyingi ujue spare nazo zinapatikana kirahisi
 
Back
Top Bottom