Mwenye kuharibu taswira ya Serikali ni nani?

MATONYA new

Senior Member
Jan 21, 2021
139
330
Tumemsikia mama yetu mpendwa akilalamikia makundi kuwa yanaharibu taswira ya sirikali yake
Ndugu zangu tujiulize haya
1. Je, ni nani anayechelewesha mradi wa bwawa kubwa la umeme la Stigler's Gorge???
2. Je ni nani anayechelewesha ujenzi wa reli ya umeme maarufu wa SGR???
3. Je ni nani anayelihujumu shirika la umeme Tanzania Tanesco hivyo kupelekea uwepo wa mgao wa umeme???
4. Tozo, hizi tozo nani amezileta na faida zake mbona hatuzioni???
5. Mfumko wa bei za bidhaa mbalimbali hapa nchini, nini muafaka??
6. Machinga, kuhamishwa, je kuna mpango uliokuwa umeandaliwa mapema kabla ya kufikiria kusafisha majiji kwa kuwaondoa machinga sehemu walizokuwa wanafanyia biashara ingawa hazikuwa rasmi??

MAMA, WACHAWI UMEWAKUMBATIA MWENYEWE

TOA MAFISADI WOTE WANAO LALAMIKIWA NA WEKA WATENDAJI WASIO JARI MASIRAHI BINAFSI, HAPO MAMBO YAKO YATANYOKA

NAWASILISHA
 
Marope yawezekana akawa na shida
Hakuna uzi unaotoka bila kumtaja
Ajiulize smartness yake ikowapi kama analalamikiwa na KILA mtu???
Dogo mpigaji wa dunia yule, na sasa dunia imepambazuka, teknolojia imetamalaki zaidi. Sasa asidhani kama ataweza kuwa mpigaji Kama enzi za nchi ya giza
 
Back
Top Bottom