Mwenye kufahamu hii namba ya nchi gani anisaidie.

thewajibu

JF-Expert Member
Jan 14, 2017
226
292
2583680769

Kama kichwa kisemavyo kama unafahamu namba hii ni ya nchi gani naomba msaada wako, aliyenipa alisahau kunipa country code ntashukuru sana nikipata msaada wenu.
 
Telephone numbers in 258-368 are situated in United States of America

possibility inaweza kuwa ya USA hvyo itakuwa
+1 2583 680 769
 
Telephone numbers in 258-368 are situated in United States of America

possibility inaweza kuwa ya USA hvyo itakuwa
+1 2583 680 769
Asante mkuu, lakini anayetumia namba to hii ni mtu wa bara Asia japokuwa bado sijajua ni nchi gani hasa. Kuhusu USA nishajaribu ikakataa
 
Asante mkuu, lakini anayetumia namba to hii ni mtu wa bara Asia japokuwa bado sijajua ni nchi gani hasa. Kuhusu USA nishajaribu ikakataa
Mbona umeshajibiwa kuwa hiyo ni namba ya Msumbiji, au!
 
Back
Top Bottom