Mwenye kufahamu chochote kuhusu kampuni ya Africana manufacturers naomba anifahamishe

Chang’oe

JF-Expert Member
Jun 16, 2013
233
434
Habari wapendwa,

Nimepokea simu kuitwa kwenye interview siku na kutajiwa position niliyoomba + jina la kampuni ambalo ni hilo hapo katika kichwa cha uzi huu.

Sina uhakika kama niliwahi kutuma maombi ila pengine kwakuwa tumekuwa tukitafuta huku na kule pengine yawezekana niliwahi kuomba.

Nimejaribu kugoogle kupata taarifa sijaona chochote so plz kama kuna anaejua basi anifahamishe chochote kuhusiana na mada hiyo.

Thanks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom