MWENYE KUFAHAMU APP NZURI YA KUANGALIZIA SOCCER LIVE PLEASE

Escobar

JF-Expert Member
Sep 16, 2011
574
440
Naomba kwa mwenye kufahamu application nzuri ya kuangalizia mpira hasa wa ulaya anisaidie nidownload maana mazingira niliyopo nashindwa kuangalia mpira wakati ndiyo burudani yangu kuu baada na nanihino.
 
kwa simu tumia mobdro au mobikora ila inategemea na ubora wa net yako kwa pc tumia goatd.net
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom