Mwenye kitabu cha " Kipigo cha Dunia" sterling mzee Meko na Bob Mazishi tuwasiliane!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,623
141,454
Ni kitabu cha miaka ya 80s kikiwa katika mtindo wa picha za kuchora yaani katuni.

Aliyebahatika kuwa nacho hata sasa nakihitaji kwa ajili ya kujikumbusha mambo fulani ili kuepukana na matapeli ambao bado wapo hata sasa.

Ramadhan Kareem!
 
Back
Top Bottom