Mwenye kipeperushi cha Startimes kuona nikilipia ntaona channel gani na gani

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
May 3, 2020
2,416
3,911
Habari wakuu kwema?

Naomba kama kuna mwana jf humu ana kile kipeperushi cha star times kinachoonesha channel na kifurushi chake na malipo anaweza kunitumia hapa,

Ili nijue au kuchagua ninunue kifurushi gani na channel gani zitakuwa zinazo ili niwe naangalia.🙏🙏
 
Kipeperushi hiki hapa...
20210218_173721.jpg
20210218_173757.jpg
20210218_173831.jpg
 
Back
Top Bottom