Mwenye Kijiko cha kupakilia mchanga...kazi ipo

Zainab Tamim

Verified Member
Jan 15, 2015
1,297
1,500
Wadau,

Yeyote mwenye kijiko cha kupakilia mchanga kwenye malori, ipo kazi hapa kwetu Misugusugu, Kibaha. Kazi itadumu kwa miezi miwili au zaidi kwa kupakilia eka mbili au zaidi za mchanga, kina kirefu hakipungui mita moja na nusu. Mchanga ni mzuri mweupe, watujazie wa mchanga wapo wengi.

Vibali vyote vipo.

Piga au whatsapp 0625249605 Mzee Abdul kwa maelezo zaidi.
 
mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
54,619
2,000
Wadau,

Yeyote mwenye kijiko cha kupakilia mchanga kwenye malori, ipo kazi hapa kwetu Misugusugu, Kibaha. Kazi itadumu kwa miezi miwili au zaidi kwa kupakilia eka mbili au zaidi za mchanga, kina kirefu hakipungui mita moja na nusu. Mchanga ni mzuri mweupe, watujazie wa mchanga wapo wengi.

Vibali vyote vipo.

Piga au whatsapp 0625249605 Mzee Abdul kwa maelezo zaidi.
Ntakuku pm namba ya jamaa mmja anayo mashine Yuko moro lkn

Ova
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom