Mwenye IST yenye '4WD'... atupe uzoefu

Kaveli

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
5,118
8,138
Hello wadau.

Kwa yeyote mwenye Toyota IST yenye '4WD'... ama aliyewahi kutumia IST yenye '4WD'... Fuel consumption ipoje? Tupeni uzoefu.

-Kaveli-
 
NNCP 65 NINAYO, KWA MJINI INATUMIA KM 11-12/LITA NA KWA HIGHWAY NI KM 16 ,PIA KWA KUWA INADRIVE TAIR ZOTE 4 KWA WAKATI MMOJA UKIWASHA AC NGUVU YAKE INAPUNGUA KIDOGOO

Ahsante sana bro. Nimeuliza hili kwasababu nimekuwa nikisikia kuwa IST yenye '4WD' inakula sana fuel.

Kuna jamaa yangu anataka kuchukua IST yenye 4WD coz kazi zake nyingi ni sehemu za tope, ila anahofu fuel consumption.

-Kaveli-
 
Kwani mkuu hiyo 4WD yake inatumika muda wote? Mi nilidhani ni option kwamba usipoengage, gari inaperform as 2WD .. kama ni hivyo consumption itakua kawaida unless muda ambao utakua umeopt hiyo 4WD
Hello wadau.

Kwa yeyote mwenye Toyota IST yenye '4WD'... ama aliyewahi kutumia IST yenye '4WD'... Fuel consumption ipoje? Tupeni uzoefu.

-Kaveli-

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante sana bro. Nimeuliza hili kwasababu nimekuwa nikisikia kuwa IST yenye '4WD' inakula sana fuel.

Kuna jamaa yangu anataka kuchukua IST yenye 4WD coz kazi zake nyingi ni sehemu za tope, ila anahofu fuel consumption.

-Kaveli-
Hivi mtu anaanzaje kua na hofu ya fuel consumption kwa gari yenye 1490 CC? Au anataka awe anaweka mafuta ya 10,000 atembee km 100?
 
Kwakweli umeongea hoja ya msingi.

Walio wengi wanakimbilia kununua gari wakati kiuhalisia Wanakuwa bado hawajawa na financial capacity ya kumiliki gari.

Lakini pia, hoja yako haiondoi fact kwamba kwenye gari kuna factors ambazo zaweza changia gari ikawa/isiwe na economy fuel consumption. Factor mojawapo ni kuhusu 4WD. Nadhani tujikite kwenye hoja hii.

Lakini ni jambo la kawaida sana kwa gari yenye 2000 CC na 4WD kua inatumia 8-9 km/L kuwepo au kutokuwepo 4WD hakuwezi kua na tofauti kubwa sana
 
Thanks mkuu. Hapo nimekusoma.

Afu hebu nambie, eti full time 4wd inaongeza performance kwenye speeding? Ama haina uhusiano na speeding?

Kwa kweli mkuu mimi 4WD natumia kwenye 4x4 sidhani kama inaongeza perfomance maana 4WD inaongeza nguvu kwenye uvutano wa matairi mfano 2WD zingine nguvu ipo kwenye matairi ya mbele ukiwasha 4WD inaaqnza tumia na matairi ya nyuma pia
 
Okay thanks mkuu.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom