Mwenye idea ya umeme mbadala nisaidie ideas please

CalvinPower

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
1,571
882
Kuna machine najaribu kudesign nachanganya engine ya generator na inverter kupata umeme rahisi. una Idea yoyote ambayo itanisaidia?mwenye idea ya 500w, 1000, to 3000w alete hapa. Nipo Nachingwea​
 
Cjakupata kidogo.Power unataka itoke kwenye generator(mafuta) au.
 
weka vizuri idea yako mkuu, huo mchanganyiko wako unataka uweje?
 
naweza kukusaidia lakini nieleweshe vyema.sijakuelewa kabisa unachotaka kufanya kama kipo kwenye theory au la
 
Kuna machine najaribu kudesign nachanganya engine ya generator na inverter kupata umeme rahisi. una Idea yoyote ambayo itanisaidia?mwenye idea ya 500w, 1000, to 3000w alete hapa. Nipo Nachingwea​
Japo si mtaalam wa umeme.. wataalam watanikosoa na kutuelwesha pale nilipokosea

kama una design ya gerator inveter ya kazi gani tena?

Nimewai kufanya kazi porini. Kule Betri kubwa kama N120 mchana ilikuwa unachajiwa kwenye mashine ambayo ni kama engine ya trekta iliyokuwa intumika kukata mbao.

Ile betri iliyochajiwa tukirudi sehemu ya kulala inaunganishwa na inverter na hivyo kuzalisha umeme wa kuwezesha taa na na hata kuona video usiku mzima.

Kwa hiyo kwa design yako ama uende na generator pekee au Inverter na betri ambalo litahitaji kuwa linachajiwa
 
Kuna machine najaribu kudesign nachanganya engine ya generator na inverter kupata umeme rahisi. una Idea yoyote ambayo itanisaidia?mwenye idea ya 500w, 1000, to 3000w alete hapa. Nipo Nachingwea​
Watt 3000 ni nyingi sana, unafanyia nini?
Pia generator kama ni AC then hauhitaji inverter but kama ni DC unahitaji.
Elezea vema unachotaka
 
engine inazunguka mara 3000 kwa dakika na inazungusha altonetal yenye 50 to 60Ampere ili kucharge betry ya N200. nataka kurahisisha kucharge betry kwa vijijini.
 
Inverter hapo utaihusishaje sasa kwenye generator mkuu?
 
engine inazunguka mara 3000 kwa dakika na inazungusha altonetal yenye 50 to 60Ampere ili kucharge betry ya N200. nataka kurahisisha kucharge betry kwa vijijini.
Maelezo yako kwa kweli hayajitoshelezi kwa kupata msaada wowote wa kitaalamu!
 
Back
Top Bottom