CalvinPower
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 1,571
- 882
Kuna machine najaribu kudesign nachanganya engine ya generator na inverter kupata umeme rahisi. una Idea yoyote ambayo itanisaidia?mwenye idea ya 500w, 1000, to 3000w alete hapa. Nipo Nachingwea
Japo si mtaalam wa umeme.. wataalam watanikosoa na kutuelwesha pale nilipokoseaKuna machine najaribu kudesign nachanganya engine ya generator na inverter kupata umeme rahisi. una Idea yoyote ambayo itanisaidia?mwenye idea ya 500w, 1000, to 3000w alete hapa. Nipo Nachingwea
Watt 3000 ni nyingi sana, unafanyia nini?Kuna machine najaribu kudesign nachanganya engine ya generator na inverter kupata umeme rahisi. una Idea yoyote ambayo itanisaidia?mwenye idea ya 500w, 1000, to 3000w alete hapa. Nipo Nachingwea
engine inazunguka mara 3000 kwa dakika na inazungusha altonetal yenye 50 to 60Ampere ili kucharge betry ya N200. nataka kurahisisha kucharge betry kwa vijijini.
Maelezo yako kwa kweli hayajitoshelezi kwa kupata msaada wowote wa kitaalamu!engine inazunguka mara 3000 kwa dakika na inazungusha altonetal yenye 50 to 60Ampere ili kucharge betry ya N200. nataka kurahisisha kucharge betry kwa vijijini.