Mwenye idea na bitcoin ( localbitcoin ) kuhusu uuzaji na ununuaji

The Knowledge Seeker

JF-Expert Member
Apr 13, 2019
2,996
4,164
Habarini wana jf.. Ninahitaji kujua jinsi bitcoin inavyofanya kaz kwa maana ya kuuza na kununua ,charges zake kwa kila transactions unazofanya kwa yeyote mwenye idea nayo, maana naona inayo kama mawakala wake ambao wapo kila kona kama unataka kununua au kuuza, je kuwa kama hao mawakala inahitaji mtaji wa sh ngapi na changamoto, na pia faida zake...

Je unaweza ukawa una save fedha zako kwenye mfumo huu kwa lengo lakupata faida kutokana na changes za kupanda kwa thamani yake, na zipi hapa changamoto zake
 
ungenitafuta whataapp dm me for a number
 
Back
Top Bottom