Mwenye Historia ya Ufisadi Tanzania (Tanganyika na Zanzibar)


mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2015
Messages
8,947
Likes
14,550
Points
280
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2015
8,947 14,550 280
Kuna Msemo unasema " Kama hujui Unakotoka, basi hujui uendako"

UFISADI umejijengea umaarufu siku za karibuni, na wito wa rais kila mtu aupinge kabisa. Tumeona vikundi vya kupinga ufisadi, Tumeona mahakama ya Mafisadi, na vitu vingi vya aina yake.

Binafsi kwa mwenye uelewa anisaidie ni Jue Historia ya Ufisadi Hapa nchini kwetu.

1: Kabla Ya Uhuru
2:Baada ya Uhuru wa Tanganyika
3: Baada ya Muungano wa Tanganyika na zanzibar
4:Ufisadi enzi za Nyerere, Mwinyi (Chama kimoja)
Huu wa siku hizi kuanzia 95 hadi kesho tumeujadili sana. Huwa najiuliza iliwezekanaje mtu kuiba mali ya Umma au Kuwa fisadi Mbele ya uwepo wa mkoloni, Nyerere, watu kama sokoine .

Natafakari naona kuna vitu namiss katika historia ya nchi yangu hii ninayoipenda na kuikubali kuliko mahali popote hapa Duniani.
 

Forum statistics

Threads 1,274,856
Members 490,833
Posts 30,526,099