Mwenye historia ya mmiliki wa kiwanda cha chuma cha Kirua Investment.

korojani

JF-Expert Member
Dec 17, 2016
231
237
Wakuu kwa Muda sasa nasikia umaarufu na utajiri wa mkurugenzi mkuu wa Kirua Investment yule jamaa mwenye kiwanda cha chuma Mkoa wa pwani, kama kuna mtu ana historia ya mkurugenzi huyo plz atujuze hapa maana kuna habari nyingi huku mtaani.
 
Alikuwa mcheza disco maarufu mkoani Mtwara na Lindi,si mara ya kwanza kupata pesa,anajua na kuzitumia pia ila ni mpiganaji mzuri.
Elimu si pesa,hivyo hakuna haja ya kutaja elimu yake,ila ni mbunifu mwenye kipaji anaefahamika na kila aliye karibunaye.
Ni miongoni mwa watu wa kwanza kutengeneza gypsum(kiwandani)huko maeneo ya mkoa wa pwani kwenye barabara ya kwenda Lindi.
Hana mkono wa birika,ukifahamiananae na mukakutana mahali utakula ngawira.
 
Story nyingi Kama zipi labda,,?
 
Wakuu kwa Muda sasa nasikia umaarufu na utajiri wa mkurugenzi mkuu wa Kirua Investment yule jamaa mwenye kiwanda cha chuma Mkoa wa pwani, kama kuna mtu ana historia ya mkurugenzi huyo plz atujuze hapa maana kuna habari nyingi huku mtaani.
Zipi hizo za mitaani?
 
Alikuwa mcheza disco maarufu mkoani Mtwara na Lindi,si mara ya kwanza kupata pesa,anajua na kuzitumia pia ila ni mpiganaji mzuri.
Elimu si pesa,hivyo hakuna haja ya kutaja elimu yake,ila ni mbunifu mwenye kipaji anaefahamika na kila aliye karibunaye.
Ni miongoni mwa watu wa kwanza kutengeneza gypsum(kiwandani)huko maeneo ya mkoa wa pwani kwenye barabara ya kwenda Lindi.
Hana mkono wa birika,ukifahamiananae na mukakutana mahali utakula ngawira.
Mkuu mbona wadau wanadai huyu jamaa alikuwa mpigaji na mjanja mjanja.!!!
 
Kilua ni mtafutaji ila watanzania mlizoea pesa we awe nazo muhindi au mwarabu,akizipata mswahili mtazusha tu
 
Back
Top Bottom