Mwenye historia ya madee rais wa manzese

isho_boy

JF-Expert Member
Sep 22, 2015
2,145
1,887
Ningependa kujua hata kidogo historia ya huyu msanii....nimeanza kumsikia miaka ya 2003 na ngoma yake kali sana aliyowashirikisha mandojo na domo kaya___kazi yake mola
 
tafuta wimbo wake wa historia,nadhani ameelezea kila kitu humo ndani mkuu kuhus maisha...yake kiufupi.kuna sehemu anakwambia...nawajua wadada kabla sijatahir,,,iwana miaka kama saba kitaani nasujudiwa nilikuwa mafya ninja usiombe nikukute na mazaga yote lazima nikombe......nmekupa kidogo tu tafuta wimbo mzima mkuu youtube.
 
Bila kusahau Ile laini aloimba
"Hawa jamaa Ni Makuuu....., Malizia na Ma, badala ya kuiba moja wao wanaleta Tamaa"..
 
mleta Uzi nakushauri umtafte Ney wa Mitego anaweza kukupa historia ya huyu jamaa, maana naskia wanagombania cheo cha mjumbe wa nyumba kumi wa manzese
 
Ningependa kujua hata kidogo historia ya huyu msanii....nimeanza kumsikia miaka ya 2003 na ngoma yake kali sana aliyowashirikisha mandojo na domo kaya___kazi yake mola
alisema asernal ikifungwa bas anachoma gari yake live, ila baada ya mechi alilia lia sana
 
Msikilize kwenye wimbo wake m1 hivi kaelezea historia yake aliiba vitu vya ndani akaenda south kutafuta maisha.
 
Ukisikiliza wimbo wake wa historia utagundua jamaa alikuwa mwizi sugu
 
Back
Top Bottom