Mwenye HATI MILIKI YA "AMAPIANO" ametajirika au anapigwa tu!

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
21,713
35,512
Hii beat hata ukiimba singeli watu hawasikilizi unachosema wanatambaa na beat tu.

Hii beat haijawahi kumtakaa mtu hata gospel uta-beng tu.

Producer na muimbaji wa kwanza wamefaidikaje au ndio wamemuachia Mola?

Kama wana HATI MILIKI watembee nchi kwa nchi kila aliyetumia hii beat awalipe. Au nadanganya ndugu zangu

Nshamaliza!!
 
Hivi amapiano ni beat ama ni genre/aina ya muziki?

Mimi nadhani ni aina ya muziki, yani kama unayosema hip hop, r & b, taarab, jazz, rock, pop, soul, gospel, bongo flava, reggae, dance hall, disco etc.

Kwa hivyo hakuwezi kuwa na hakimiliki ya amapiano.

Na amapiano, inatokana na muziki unaitwa 'house music' ambapo ulianzia uingereza kisha ukawa muziki mkubwa sana south africa kisha watu wa u swahilini wa huko SA wakaongezea kinanda kwenye huo muziki ndio ukazaliwa amapiano (yani 'vinanda')

Kama tu ambayo hakuna mwenye hakimiliki ya singeli ama hip hop basi hakuna mwenye hakimiliki ya amapiano, na kwa jinsi unavyotapakaa soon utakuwa muziki wa dunia nzima uafrika kusini wake utasahaulika
 
Umemaliza kila kitu
 
Umefafanua vizuri sana, asante.
 
Wasanii wa kibongo wanaziiba amapiano km yalivyo na kuyawekea maneno ya kiswahili yanayoendana na maneno ya Kizulu. ...

# magodoro tumeloweka maji...
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom