My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,932
- 13,283
Mithali 28:1.
Kama watawala wangekuwa na haki juu ya uamuzi wao wa kuzima line za simu kwa ambao hawasajili kwa NIDA ID basi wangezima kama walivyokuwa wameahidi, lakini kwa kuwa wanajua fika kuwa walikuwa wameboronga katika suala zima la utoaji wa NIDA ID ndo maana wamesitisha ghafla kufunga line.
Kama wangekuwa na haki hakika wangezima line kwa tarehe hiyo hiyo waliyokuwa wameahidi.
Acheni kukurupuka, tabia zenu za kukurupuka ndo zimeharibu hata uchumi wa nchi.
Kila mnachokifanya hamna uhakika nacho, ndo maana taifa nalo lipo lipo tu hata halieleweki linapokwenda.
Sent using Jamii Forums mobile app