Mwenye haki ni jasiri kama simba

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
3,753
Points
2,000

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
3,753 2,000
Mithali 28:1.

Kama watawala wangekuwa na haki juu ya uamuzi wao wa kuzima line za simu kwa ambao hawasajili kwa NIDA ID basi wangezima kama walivyokuwa wameahidi, lakini kwa kuwa wanajua fika kuwa walikuwa wameboronga katika suala zima la utoaji wa NIDA ID ndo maana wamesitisha ghafla kufunga line.

Kama wangekuwa na haki hakika wangezima line kwa tarehe hiyo hiyo waliyokuwa wameahidi.

Acheni kukurupuka, tabia zenu za kukurupuka ndo zimeharibu hata uchumi wa nchi.

Kila mnachokifanya hamna uhakika nacho, ndo maana taifa nalo lipo lipo tu hata halieleweki linapokwenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Graph Theory

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Messages
4,354
Points
2,000

Graph Theory

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2011
4,354 2,000
Unamaanisha wenye sirikali yao hawajui wanachokitafuta?.

Hivyo wamekuwa wanajaribu jambo jipya kila mara(mwisho wanaonekana wanakurupuka)?.

Kama jibu ni ndiyo, kwamba hawajui wanachokitafuta. Mimi mwenyekiti wa chama cha wasiojua wanatafuta nini hapa duniani, nawakaribisha chamani.
 

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
3,753
Points
2,000

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
3,753 2,000
Mkakati uliopo ni kuwabana watu na sheria zao za mitandao wasipate pa kusemea!!matokeo yake ndo haya kupuuzwa na wananchi!!!jiwe anakopi Rwanda wakati hajui ni ka nchi kadogo kama mkoa wa manyara!!!!UJINGA MTUPU!!!
Nimeshaandika humu kuwa Magufuli anaiga mataifa yaliyofeli Kama Rwanda halafu wakati huo huo anataka Tanzania ifanikiwe kiuchumi, akitaka tufanikiwe awaige Japan

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,391,789
Members 528,461
Posts 34,089,026
Top