MWENYE GARI TOYOTA SURF,LAND CRUISER AU DEFENDER ANIKODISHIE

MACHONDELA

JF-Expert Member
May 7, 2018
937
1,566
Nawasalimu wakuu,Nina shida ya kukodishiwa moja wapo ya gari hizo hapo kwa ajili ya shughuli zangu haswa kwa siku za weekend tu ndan ya miez 3,weekend niwe nayo mimi week day narudisha,Mimi niko dsm,PM kwa maelezo zaidi
 
Kaka mbona ni mtu wa hovyo sana,kwanini?Comments zako nyingi ni za kipumbavu,kila ninapokusoma huwa unanikera sana halafu eti nawewe ni think tank wa lumumba,daah
Kwa Nini usiende kukodi kampuni za tours jambazi wewe mbona ziko kibao kwa Nini unataka kwa watu binafsi
 
Mkuu nimekuelewa unataka gari ambayo hata ukienda nayo Beach hainasi kwenye mchanga.

Hizo model ulizozitaja zote ni gari za all weather
Pamoja mkuu.
 
Back
Top Bottom