MWENYE GARI TOYOTA SURF,LAND CRUISER AU DEFENDER ANIKODISHIE

MACHONDELA

JF-Expert Member
May 7, 2018
343
1,000
kama upo makini utapata mchuma mkuu,,ondoa shaka
kuna watu wanaleta mzaha umu kiasi cha kuogopesha wenye nia thabiti ya kunipa,nimeondosha hofu kwao kwamba niko tayari kuwa na mmiliki kipindi nafanya program zangu ili aone nafanya nini
 

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
29,692
2,000
kuna watu wanaleta mzaha umu kiasi cha kuogopesha wenye nia thabiti ya kunipa,nimeondosha hofu kwao kwamba niko tayari kuwa na mmiliki kipindi nafanya program zangu ili aone nafanya nini
Utamkaba nenda kampuni za tours kakodi huko
 

Truth Teller

JF-Expert Member
Aug 20, 2016
1,246
2,000
Jambazi la magari Hilo linataka kutokomea na Hilo gari gizani
Kaka mbona ni mtu wa hovyo sana,kwanini?Comments zako nyingi ni za kipumbavu,kila ninapokusoma huwa unanikera sana halafu eti nawewe ni think tank wa lumumba,daah
Kwa Nini usiende kukodi kampuni za tours jambazi wewe mbona ziko kibao kwa Nini unataka kwa watu binafsi
Tahira wewe
Watakao kupa hiyo gari ndio mataahira wakubwa jambazi wa kuiba nagari wewe Koma kuja jamii forums kutafuta watu wa kuwapora magari

Daaah Watu wenye stress UTAWAJUA TU
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom