Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,100
- 6,022
Salaam Wana Bodi. Sasa nipo kwenye kampuni flani hizi ya Ujenzi wa barabara huku pande za Songea, na kwa sasa hii kampuni ina shortage ya gari ndogo ka ajili ya Surveyors, sasa kama kuna mwanabodi yeyote ana gari aina ya Pick-up open body tuwasiliane fasta. Hawa jamaa wanalipa vizuri tu kuliko kuiacha gari yako hivihivi(idle). Hii gari itatumika ndani ya kampuni na inapewa mafuta full(Diesel). We gharama yako ni matengenezo tu. Gari zingine wanazohitaji ni Nissani double cabin, Prado, Pajero au gari nyingine yoyote iliyo katika hali nzuri.
Mwenye hii kitu aniPM fasta tu-make plan.....
Mwenye hii kitu aniPM fasta tu-make plan.....