I just ask
Member
- Nov 12, 2020
- 14
- 15
YapUnaamaanisha diploma ya pharmaceutical science?
Ndio, na lazima apate leseni(usajili) ili aweze kukishughulisha na kazi za afya/kifamasia.
Ndio mkuu unapata vizuri tu wewe ni msomo wa kada hiyo kwann usipewe
PoaNdio, na lazima apate leseni(usajili) ili aweze kukishughulisha na kazi za afya/kifamasia.
Watu wote waliosoma masuala ya Dawa(Kuanzia Shahada, Stashahada, Astashahada) lazima wasajiliwe na kupewa leseni.
Asante maana nilizani ni degreee pekeee wanapewaNdio mkuu unapata vizuri tu wewe ni msomo wa kada hiyo kwann usipewe
Degree ni leseni za kuweza kufungua na kusimamia pharmacy
So diploma hawezi simamia phamacyDegree ni leseni za kuweza kufungua na kusimamia pharmacy
Ndio, ila anafanya kazi chini ya usimamizi wa mfamasia.
Ndio hawezi.
Kuna dawa nyingi tu ambazo DLDM hawaruhusiwi kuwa nazo ila pharmacy wanakuwa na dawa zote zilizoruhusiwa kuuzwa.ni ipi tofauti ya DLM na pharmacy maana tunaona kuna DLM zngne standard kuliko hta pharmacy